FOR ALL IAA : IMPORTANT ANNOUNCEMENT, MUST READ (IAA TAB)
!!!!! TANGAZO MUHIMU !!!!
TO ALL IAA STUDENTS****
Habari yako, pole na majukumu, Leo jumamosi tarehe 23/04 unatakiwa kwenda ofisi za IT HELP DESK, saa 2 asubuhi - 10 jioni (pako katikati ya NYANGUMI HALL NA CH1, ili kujisajili katika mfumo mpya wa chuo (computerized system) " MOODLE" wa kufundishia, ku-submit assignment, kuwasiliana na lectures, matangazo ya ndani ya chuo na kutolea matokeo amabapo kila mtu atakua anapata ya kwake mwenyewe tu kwenye hiyo account yake, amabayo utaweza kui-access hata kwa simu yako au laptop kokote ulipo.
Utapewa username na password kwa ajili ya account hiyo,..
!!! Ni lazima kila mwanafunzi kujisajili kwenye moodle!!
**** Tafadhali usipuuzie, pia waambie na wengine, Ahsante **
FROM:
WAZIRI - ELIMU IAASO
kwa niaba ya chuo.
kwa msaada au maelezo zaidi kuhusu jambo hili, call 0768 632368/ 0716 778 737
Unaweza 1. kutembelea pia website ya chuo, www.iaa.ac.tz/moodle
2. IT HELP DESK kwa maelezo zaidi.
!!!!!! VERY IMPORTANT !!!!
No comments:
Post a Comment