IAASO LINA TAARIFA HII KWA WANACHUO WOTE WA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY ARUSHA, 25/04/2016.


TANGAZO. 




katika kutambua nasafi ya mwanamke katika jamii, uongozi wa wanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha imekuandalia wewe mwananchuo event inayoitwa IAA - WOMEN EMPOWERMENT EVENT, itakayofanyikia ukumbi wa MAIN CAFTERIA HALL, tarehe 26 April 2016 kwanzia saa 9:00 am - 04:00 pm.

Haya yatajadiliwa katika events hiyo, Leadership Training, Awareness, Health, Enterpreneurship, Start a business, Relationship, Political training, Women Confidence and all other women affairs.

Event pia itajumuisha wanavyuo kutoka vyuo vingine vikiwemo, Makumira University, Arusha Technical College, and Mount Meru university.


MAIN SPEAKERS : >>VIOLLA LAZARO ( NAIBU MEYA - ARUSHA) 

                                    >>MRS. LEMA ( MKE WA MBUNGE - ARUSHA)

                                      >> MR. JOEL SENY (MTAALAMU MAHUSIANO)

                         >> MS. CAROLINE ( BUSINESS WOMAN)




WOTE MNAKARIBISHWA, SIO YA KUKOSA****
26/04/2016- MAIN CAFTERIA HALL.




No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.