SHIRIKISHO LA SOKA LA SWEDEN LIMEMPA HESHIMA HII ZLATAN IBRAHIMOVIC

3aa2a1f000000578-3958812-image-m-4_1479766616240

Shirikisho la soka la Sweden limepanga kumpatia heshima ya kumtengenezea sanamu mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic kutokana na mchango wake aliowahi kuutoa kwenye timu ya taifa.

Zlatan amefanikiwa kushinda tuzo ya mwanamichezo bora wa Sweden kwa miaka 10 mfululizo kabla ya kutangaza kustaafu kuichezea timu hiyo baada ya michuano ya kombe la Euro 2016. Sanamu lake hilo litawekwa nje ya uwanja wa Friends Arena uliopo katika jiji la Stockholm.

Zlatan mwenye umri wa miaka 36 amefanikiwa kuifungia timu hiyo magoli 62 kati ya michezo 114 aliyocheza.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.