PICHA & VIDEO: MOTO WATEKETEZA SOKO KUU SIDO JIJINI MBEYA
Soko kuu la Jijini Mbeya maarufu kama SIDO limeungua moto usiku wa kuamkia leo .Moto huo ulianza majira ya saa 3 usiku ambapo mali za wafanyabiashara mbalimbali katika soko hilo zimeteketea.
Kwa upande mwingine wananchi wamesikika wakimwaga machozi ya lawama kwa Jeshi la Polisi wakilaumu kutoruhusiwa kusogea eneo la tukio kuokoa mali zao kwa kuwafyatulia risasi hewani.
Tazama video hii hapa chini...
No comments:
Post a Comment