BREAKING NEWS : KAMANDA SIRRO KAONGEA HAYA KUHUSU KUPOTEA KWA ROMA NA WENZAKE + VIDEO

Image result for breaking news

Ni April 8 ambapo kitu kinachotrend sasa kwenye mitandao ni kuhusiana na kukamatwa kwa msanii Roma Mkatoliki na watu wasiojulikana na kupelekwa kusikojulikana pia... 

Leo kamanda wa jeshi la polisi Dar es salaam, Kamishna Simon Sirro amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na swala la Kupotea kwa Msanii Roma Mkatoliki na wenzake...

Nimekuekea hapa video, Taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari kuhusu swala hilo... msikiliza kamanda sirro hapa chini...

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.