VIDEO : REAL MADRID YAILAZA ATLETICO 3 - 0 NUSU FAINALI UEFA.. TAZAMA JINSI RONALDO ALICHOWAFANYA

Cristiano Ronaldo celebrates scoring their second goal

Leo dunia ilisimama kushuhudia mchuano wa nusu fainali ya UEFA ambapo mahasimu wawili walikutana Estadio Santiago Bernabeu ambapo mechi imemalizika kwa Real madrid kuibuka mshindi kwa goli 3- 0 nakujieka kwenye nafasi nzuri ya  kusonga mbele kwenye hatua ya fainali.

Magoli yote matatu yamefungwa na Cristiano Ronaldo ambaye amezidi kung'aa katika michuano hiyo kwa kuweka rekodi ya magoli 52 katika hatua ya nusu fainali UEFA ambaye amna aliyefikia hiyo idadi...

ronaldo goal vs atletico madrid

Nimekuekea hapa video ikionesha Match Highlights na magoal yote...

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.