ALICHOANDIKA RAIS MAGUFULI BAADA YA KUONA MAJENEZA YA WATOTO 35 WA LUCKY VICENT
Rais Magufuli kupitia twitter yake, ameandika jinsi alivyopatwa na majozi baada ya kuona majeneza 35 ya miili ya watoto waliopata ajali ya gari mapema jumamosi iliyopita.
Ameandika haya...
Nimepatwa na uchungu na majonzi makubwa ninapoyaona majeneza ya watoto na walezi wao waliopoteza maisha katika ajali ya basi huko Arusha 1/2— Dr John Magufuli (@MagufuliJP) May 8, 2017
Tumewapoteza mashujaa wetu ktk elimu. Tuwaombee na tuendelee kuwa na subira, uvumilivu na ustahimilivu 2/2— Dr John Magufuli (@MagufuliJP) May 8, 2017
No comments:
Post a Comment