FULL VIDEO : MAELFU YA WAKAZI WA ARUSHA WAAGA MIILI YA WATOTO WA LUCKY VICENT
Maelfu ya wakazi wa Arusha wamejitokeza kuhudhuria ibada ya pamoja kuwaaga wanafunzi 32 wa shule ya Lucky Vicent waliofariki dunia ajalini Jumamosi asubuhi... hapa chini ni video ikionesha mwanzo mwisho tukio hilo lilivyotokea leo....
No comments:
Post a Comment