WIMBO MPYA WA " MARRY YOU " - DIAMOND FT NE-YO KUZINDULIWA RADIO CAPITAL XTRA ILIYOKO UINGEREZA.

Image result for diamond ft neyo
Wimbo wa ‘Marry You’ wa Diamond aliomshirikisha Ne-Yo kuchezwa kwa mara ya kwanza kupitia kituo cha radio cha Uingereza, Capital Xtra Radio ya nchini Uingereza.
Kupitia mtandao wa Twitter wa redio hiyo wameandika, “*Exclusive First Play* Wow! This new @diamondplatnumz ft. @NeYocompound ‘I Will Marry You’ is big!.”
Huu utakuwa wimbo wa pili wa hitmaker huyo wa Salome kuchezwa nchini humo baada ya wimbo wa ‘Kidogo’ kuchezwa kwenye kituo cha BBC Radio 1Xtra tangu mwezi Agosti mwaka huu.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.