BREAKING NEWS : MH. RAIS MAGUFULI LEO AMEMCHAGUA BALOZI WA TANZANIA UINGEREZA... HUYU HAPA




Mh. Rais Magufuli amemchagua leo DKT. Asha Rose Migiro kuwa balozi mpya wa Tanzania Uingereza, kaa karibu yangu tutazidi kukuletea taarifa zingine kuhusu habari hii ya uchaguzi wa balozi aliofanya Mh. JPM...



 Dkt Asha Rose Migiro aliwahi kuwa kiongozi wa UN na ana wasifu mkubwa tu kimataifa...



No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.