" ALIYENITAJA KWENYE WIMBO AJIANDAE KESHO " - GWAJIMA ,, DIAMOND NAYE AMEANDIKA HAYA




Baada ya Diamond kumataja Bishop Gwajima kwenye wimbo wake wa ACHA NIKAE KIMYA, Gwajima amepost ujumbe ulioko kwenye hiyo picha hapo juu ukisema : 

 " aliyeniweka kwenye wimbo wa lengo la kupotosha haki ili kusapoti vyeti feki, ajiandae kesho ALMASI ITAGEUKA KUWA MAJI" 

Diamond platnums ameyaandika haya kufuatia jambo hilo... 

Yala! Yala! Jamani Mwenzenu nimeyatimba😟..... lakini mi nafkiri watu wanatakiwa waiskilize hii nyimbo kwa umakini sana tena sana na wataelewa nini ilikuwa maana yangu haswa... Hususani kama kipengele nilichomtaja mzee wangu @Bishopgwajima nilisema: 

"mara nasikia vya aibu Konda na Gwajima eti ugomvi umekolea....ila kuchunguza kwa karibu ni kuna binti mmoja tu ndio kwa mitandao anachochea..."



Point yangu ni kwamba licha ya kweli kuna yaliyojiri nyuma, lakini kwa busara zao ninazoamini wamejaaliwa na Mwenyez Mungu muda si mref wangekaa chini na kumaliza...nawote kufurahi kwa pamoja, lakini kwakuwa kuna dada mwingine alikua anachochea hawa ndugu zetu wazidi kufarakana...ikapelekea hadi kufikia hapa...asa hapo kosa langu mie liko wapi?😭


Chonde chonde mzee wangu @Bishopgwajima usinigeuze maji kesho 👐, mana nakujua ukimuamulia mtu.... naweza jumapili ya kesho nikaiona chungu Mwaka mzima😁😆😅




Yala! Yala! Jamani Mwenzenu nimeyatimba😟..... lakini mi nafkiri watu wanatakiwa waiskilize hii nyimbo kwa umakini sana tena sana na wataelewa nini ilikuwa maana yangu haswa... Hususani kama kipengele nilichomtaja mzee wangu @Bishopgwajima nilisema: "mara nasikia vya aibu Konda na Gwajima eti ugomvi umekolea....ila kuchunguza kwa karibu ni kuna binti mmoja tu ndio kwa mitandao anachochea..." Point yangu ni kwamba licha ya kweli kuna yaliyojiri nyuma, lakini kwa busara zao ninazoamini wamejaaliwa na Mwenyez Mungu muda si mref wangekaa chini na kumaliza...nawote kufurahi kwa pamoja, lakini kwakuwa kuna dada mwingine alikua anachochea hawa ndugu zetu wazidi kufarakana...ikapelekea hadi kufikia hapa...asa hapo kosa langu mie liko wapi?😭 Chonde chonde mzee wangu @Bishopgwajima usinigeuze maji kesho 👐, mana nakujua ukimuamulia mtu.... naweza jumapili ya kesho nikaiona chungu Mwaka mzima😁😆😅
A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.