GRIEZMAN AITAMANI MANCHESTER UNITED
Mfano
chukulia wewe ni mwanaume kuna mtoto mzuri unampenda,siku unakatiza
unamsikia anamuhadithia rafiki ake 'inawezekana tukawa wote' unadhani
utafanyaje ?
Hivi
ndivyo unavyoweza kuilezea situation ya moja kati ya wachezaji bora
kabisa duniani kwa sasa antonie griezman na manu,mchezaji huyo wa
kimataifa wa ufaransa amenukiliwa akisema kuna uwezekano wa kwenda
Manchester united katika dirisha la msimu huu.
Akihojiwa na kituo kimoja cha luninga griezman ametabainisha uwezekano wa yeye kwenda Man U upo kwa uwezekano wa asilimia 60!
Hii
inamaanisha sasa kazi ni kwa Manchester united kumalizana na Athletico
madrid kumleta ndani ya viunga vya Man U moja kati ya bidhaa adimu
kabisa kwa sasa barani ulaya antonie griezman.
No comments:
Post a Comment