CHANGIA TAA MOJA YA SOLA KWA AJILI YA WATOTO KAMA HAWA WASOME KATIKA MAZINGIRA MAZURI +VIDEO

.

Kids2school ni kikundi cha wanavyuo kutoka vyuo vikuu vya Tanzania ikiwemo UDOM, IAA, JOMOKENYATA( TANZANIA BRANCH) NA BAGAMOYO. 

Kids2schoo tumejitolea kuhakikisha wanafunzi wanao soma katika mazingira magumu
tunawawezesha kwa njia moja au nyingine ili kuhakikisha kuwa wanasoma katika mazingira mazuri ili waweze kufikia ndoto zao za kielimu.

Kupitia reserch mbali mbali tunazofanya kwenye vijiji vilivyoko katika mikoa ya Dodoma na Arusha kwa sasa, tumegundua watoto wanasoma katika mazingira ambayo hakuna nishati ya umeme katika vijiji vyao kitu ambacho kinapelekea kushindwa kufanya masomo yao ya wenyewe nyakati za usiku kwani hakuna nyezo ya mwanga salama.

Kwa kulitambua hilo, tukaanziha project na kuipa jina la TAA PROJECT
Taa za sola zinazohitajika katika TAA PROJECT kwa ajili ya wanfunzi kujisomea
Taa project ni project inayohusu kukusanya taa za aina ya sola ( solar lumps) kwa ajili ya      watoto katika kijiji cha Ntyuka kilichopo Dodoma pamoja na Loisikito kilichopo Arusha, Ngaramtoni.

Tunahitaji kuwa na taa si chini ya 500, kwa yoyote atayeguswa tafadhali wasiliana nasi kwa contacts info zifuatazo....



Pia tumekusogezea video tulivyoenda kutembelea kijiji cha Loisikito hapachini.... 
#kids2school 




MPELEKE MTOTO MMOJA SHULE LEO KWA KUCHANGIA TAA AINA YA SOLA, KWANI WATOTO NDO TAIFA LA KESHO,  #KIDS2SCHOOL

WASILIANA NASI SASA: 

                     + 255 653 073 151
                      + 255 754 515 385
                             + 255 685 552 282


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.