Ngoma 10 zilizochezwa Trace Muziki May 23, 2017
Ukanda wa Afrika Mashariki ni miongoni mwa kanda za Afrika ambazo husifika kwa kuwa na wanamuziki ambao unafanya vizuri Afrika na duniani na kuendelea kuutangaza muziki wake.
Leo May 24, 2017 jessengoty.com imekusogezea list ya video tisa kati ya kumi ambazo zimeruka kupitia channel ya Trace Mziki siku ya Jana may 23, 2017 ambazo ni…
09: Arvil – Uko

08: Harmonize & Rich Mavoko – Show Me

07: Radio & Weasel – Leesu

06: Mimi Mars – Shuga

05: Butera Knowles – Ujva Unkumbura

04: Gabu – No Spine

03: Bahati ft RayVanny – Nikumbushe

02: Orezi & Vannessa Mdee – Just Like that

01: The Kansoul – Bablas





No comments:
Post a Comment