" AJE " YA ALIKIBA YAMNG'ARISHA... APATA TUZO - NIGERIA



Huku mashabiki wake wakiisubiri kwa kwa hamu video ya Aje Remix aliyomshirikisha M.I wa Nigeria Alikiba ametajwa kuwa mshindi wa tuzo za Nollywood & African People’s Choice Awards kama msanii bora wa mwaka na nyimbo bora ya mwaka ya Aje.


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.