CLIP: ZLATAN IBRAHIMOVIC (MAN UTD) AMTUMIA ZAWADI KIPA WA MANCHSETER CITY KWA AJILI YA MECHI YAO YA SEPT.10 TAZAMA HII CLIP





Ikiwa siku tatu zimesalia kabla ya ulimwengu wa soka kushuhudia Man City ya Pep Guardiola na Man United ya Jose Mourinho zikikutana, Zlatan amemtumia ujumbe na zawadi golikipa mpya wa Man City Claudio Bravo kabla ya mchezo wa jumamosi, Zlatanameonekana kupitia video fupi akifunga zawadi ya kufanyia mazoezi ya Bravo.
Tazama video hiyo hapa chini.....

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.