TAARIFA MBAYA KWA MASHABIKI WA SERIES YA TYRANT BAADA YA SEASON YA 3 KUMALIZIKA
Mashabiki wa tamthilia ya Tyrant, nikiwemo mimi, wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa kuwa, imefikia tamati na haitorudi tena.
Msimu wa tatu na wa mwisho ulikamilika Jumatano hii.
Uamuzi huo umetangazwa jana na mwenyekiti mtendaji wa FX Networks and FX Productions, John Landgraf.
No comments:
Post a Comment