DIAMOND PLATNUMZ ACHANGIA 20 MILL KWA GSMFOUNDATION



Msanii huyo wa muziki wa kizazi kipya nchini, amewasilisha mchango wake huo mwenyewe katika ofisi za GSMFOUNDATION, jijini Dar es salaam, ambapo kupitia katika ukurasa wa Instagram na Twitter, GSMFOUNDATION imeshukuru kwa jambo hilo kwa ajili ya kuimarisha sector ya Afya na Elimu Nchini ambapo ndo kazi kuu ya GSMFOUNDATION. 



No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.