JPM: NITAGEUZA IKULU JUMBA LA MAKUMBUSHO



Magufuli alitangaza mpango huo jana wakati akizungumza na viongozi na wanachama wa chama hicho muda mfupi baada ya kutembelea ofisi yake ya kichama iliyopo ndani ya jengo la Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.

Rais Magufuli alisema wale wanaosema kuwa amesema atauza Ikulu baada ya kuhamia Dodoma wanapotosha ukweli kwa sababu serikali haina mpango huo.

“Wengine wanasema Ikulu itauzwa.. jengo la Ikulu litabaki pale, litakuwa jengo la maonyesho… wizara na majengo mengine yaliyo jirani na bahari yatauzwa ili tupate fedha za kuiendeleza Dodoma,” alisema Magufuli.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.