NIMEKUSOGEZEA WEEKEND HII VIDEO 10 KALII ZA BONGO ZILIZOSIKIKA SANA WEEK NZIMA - FURAHIA WEEKEND YAKO
Unapoongelea weekend huwa ni muda wa kutulia nyumbani na kurefresh baada ya mikiki ya week nzima, na mimi kwa kutambua hilo nimeamua kukusogezea karibu yako Top ten video kalii ambazo zimehit sana katika television na radio nchini....
Furahia weekend yako na jessengoty.com
1. PERFECT COMBO - JOH MAKIN FT CHINDIMA
2. JAY MOE - PESA MADAFU
3. ALIKIBA - AJE
4. SWEET MANGI - NIKKI WA PILI
5. BILL NAS - CHAFU POZI
6. WIVU - JUX
7. CHEGE FT DIAMOND PLATNUMZ - WAACHE WAOANE
8. KAZI KAZI - PROF. JAY FT SHOLO MWAMBA
9. TOO MUCH - DARASA
10. HAINAGA USHEMEJI - MANFONGO
No comments:
Post a Comment