PICHA : KUTANA NA MBWA MREMBO ZAIDI DUNIANI

Kutana na mbwa mrembo zaidi duniani kwa sasa, nchini Sydney Inaelezwa kuwa urembo wa Mbwa huyu unachangiwa zaidi na style yake ya manyoya marefu tofauti na Mbwa wengine ambao kawaida huwa na manyoya mafupi au hata kama ni marefu huwa hayazidi Sentimita 30, lakini huyu Mbwa Mrembo zaidi duniani amekua na utofauti na kujizolea umaarufu kwenye social media kama Instagram na Facebook.
Nimekuwekea hapa picha zake...


No comments:
Post a Comment