CLIP : DIAMOND PLATNUMZ NA KEVIN HART WAKILA BATA MJINI LAS VEGAS MAREKANI

Diamond

Siku mbili zilizopita staa huyo wa Kidogo alionekana akiwa na mchekeshaji na muigizaji wa filamu maarufu duniani, Kevin Hart mjini Los Angeles baada ya kumaliza kushoot video ya wimbo wake wa Marry You aliomshirikisha Ne-yo.
Wikiendi hii hitmaker huyo wa Kidogo amepost kipande cha video Instagram akiwa na nguli huyo, nimekusogezea hapa chini....



Kwenye video hii Kevin anasikika akisema, “Haiya Hartbeat weekend, turn it up, I took over his [Diamond] snapchat, you see him” na Diamond kudakia , “what you see in Vegas, remain here,” na Kevin kumalizia, “I love him my guy.”

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.