MISS TANZANIA 2016 DIANA EDWARD AUFIKISHA MUZIKI WA SINGELI MISS WORLD TAZAMA VIDEO HII

15251569_361647034212127_9082072607863341056_n

Miss Tanzania 2016, Diana Edward amejikusanyia sifa nchini kwa jinsi alivyoweza kujichanganya na mamiss wengi waliopo nchini Marekani kwaajili ya shindano la Miss World.

Kwa muda mfupi ameweza kupata marafiki, Miss Hondurus na Mexico wakiwa karibu naye zaidi.

Pamoja na kujichanganya nao vyema, Diana amewatambulisha warembo wake kwenye muziki wa Singeli na wanaonekana kuufurahia. 

Kupitia Instagram, Diana amepost video mbili zikiwaonesha, Miss Hondurus, Kerelyne
Campigoti Webster na Miss Mexico, Ana Girault wakiucheza wimbo wa Man Fongo, Hainaga Ushemeji.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.