NEYO ATOA COVER YA WIMBO WA " MARRY YOU " - DIAMOND FT NEYO..UTAPENDA ALICHOANDIKA



Star mwimbaji wa kimatafa Ne-Yo kutoka Marekani ameendelea kuonesha jinsi anavyomkubali star wa BongoFlava Diamond Platnumz baada ya kupost cover ya wimbo aliopiga naye collabo “Marry You”.
“Upendo wa kutosha kwa mshikaji wangu @diamondplatnumz msanii mkali na rafiki yangu kutoka Africa! Itafute single aliyoifanya na mimi #MARRYYOU inapatikana sasa kwenye iTunes. #NEWMUSIC 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥,” – Ne-Yo.
Kupitia Instagram, Ne-Yo ameandika maneno ya kuifanyia promotion collabo hiyo huku akimtaja Diamond “Simba” kama msanii mkali na rafiki yake mkubwa... tazama hapa chini

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.