PICHA 16 : STRETCHING HANDS FOR COMMUNITY WALIVYOKULA CHRISTMASS NA WATOTO YATIMA WA KIBOWA


Nimekusogezea picha 16  jinsi SHC kutoka IAA walivyosherehekea Christmass na watoto wa KIBOWA

Stretching hands for Community ( SHC ) ni jumuiya ya wanafunzi wa IAA ambayo imejikita katika kuwezesha jamii yenye utaji mbalimbali hasa watoto yatima, kupitia michango ya wanachama wake wanawezesha kituo cha watoto yatima cha KIBOA.

Jana jumapili, Christmass waliweza kwenda kula sikukuu na watoto hao pamoja na kuwapa mahitaji ya shule kwa January 2017,"SHC HELIPING OTHER FOR CHANGE." kwa atakayeguswa kuwasaidia ili kueza kuendelea kazi nzuri wanayoifanya, wasailiana nao kwa nambari,:
0715 977899 - Faraj, Katibu SHC 


















No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.