KUTANA NA MWANAMITINDO MWENYE MUONEKANO WA PAKA, ANAUGONJWA WA PAKA +PICHA

Caitin Stickels

Mwanamitindo Caitin Stickels ana tatizo nadra sana la kiafya ambalo hufahamika kama 'Ugonjwa wa macho ya paka' ambalo humsababishia maumivu makali sana.
Lakini bado hajakata tamaa.
Tatizo hilo la kiafya humfanya aonekane kama paka.
Hali yake ilimvutia mpiga picha za mitindo kutoka Uingereza Nick Knight.
'Urembo' wake si kama ule wengi waliozoea kuona ukiangaziwa kwenye majarida, filamu na runinga.
Tazama Picha hizi.. 
Caitin Stickels
Caitin Stickels
Caitin Stickels

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.