PICHA 16 : TAZAMA MASTAA MBALIMBALI WALIVYOTEKELEZEA KWENYE RED CARPET YA EATVAWARDS16



Wakati huu tuzo za EATVAWARD2016 zinaendelea kutoka Mliman City, Dar es salaam, hapa nimekusogezea hapa picha kadhaa kuona mastaa mbalimbali walivyotokelezea kwenye red carpet ya EATVAWARDS 2016. 
















Dully Sykes kwenye mahojiano Red Carpet


Vanessa Mdee na JUX kwenye Red Carpet

Mtangazaji kutoka EATV, Vanilla akiwa na Mtanga pamoja na Sussie

Vanessa Mdee na JUX kwenye Red Carpet

Mahojiano kwenye Red Carpet ya EATV AWARDS

Muigizaji Meya Shabani kwenye Red Carpet ya EATV AWARDS






No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.