RAISI WA KOREA KASKAZINI AFUTA SIKUKUU ZA MWAKA MPYA NCHINI HUMO ; CHRISTMASS ITAKUA SIKU YA KUMUEZI BIBI YAKE.

Related image

Bado siku 3 tuweze kuingia mwaka 2017,  Kama ulikuwa unataka kusherehekea sikukuu za mwaka mpya kwa namna yake basi utakuwa umekosea na huruhusiwi huko Korea Kaskazini.

Rais wa nchi hiyo Kim Jong Un amepiga marufuku sherehe za mwaka mpya amejaribu kufuta kuanzia siku ya Krismas ili kumuenzi Bibi aliyekuwa mwanaharakati wa nchi hiyo kipindi cha nyuma katika uongozi wa kikomonisti.

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un amepiga marufuku sherehe za Krismasi na mwaka mpya kusherekewa nchini humo kwa mujibu wa habari ya India Times ni kuwa badala ya kusherekea kuzaliwa kwa Yesu kulingana na imani ya wakristo, raia nchini humo watatenga siku hiyo kumuenzi bibi ya Kim .

Kim ambaye pia ni mwanaharakati wa kikomunisti amefahamisha kuwa bibi yake atatambulika kuwa ‘Mama mtakatifu wa mabadiliko.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.