TAKWIMU : WATANZANIA WENGI WANATAFUTA MAANA YA " BAE " KWENYE GOOGLE

Image result for bae

Sauti Sol na Alikiba wimbo wao wa ‘Unconditionally Bae’ umewashika wengi kiasi cha kuwafanya watanzania wengi kukimbilia Google kutaka kujua maana yake ama ni kwasababu wapendanao wamelifanya neno hilo maarufu zaidi mtandaoni kwa jinsi wanavyoitana kwenye Instagram?

Well, ni ngumu kujua jibu, lakini kwa mujibu wa ripoti za Google, Bae ni neno la tatu ambalo Watanzania wengi wameliandika kwenye search engine hiyo kutaka kujua maana yake. 

Kama nawe ni mmoja wa watu ambao huliona sana neno hilo lakini hujui linamaanisha nini, Bae ni kufupi cha baby, neno ambalo wapenzi huitana kwa huba!

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.