LIVERPOOL YAICHARAZA ARSENAL BAO 3 KWA 1..HAYA HAPA MAGOAL YOTE & HIGHLIGHTS
Arsenal leo ilikua uwanjani ikiwa ni mechi ya PREMIER LEAGUE ambapo iliikabiliana na Liverpool ambapo mechi imekalika kwa Arsenal kulazwa kipigo cha goli 3 kwa 1. Magoli ya Liverpool yamefungwa na Roberto firmino 9' , Sadio mane 40' , Georgionio 90 + 1'
na goli la Arsenal limefungwa na Welbeck 57'
Nimekuekea hapa chini video ikionesha magoli yote na highlights ....
No comments:
Post a Comment