KUTANA NA MDUDU ANAYEJIUWA ILI KUEPUKA TENDO LA NDOA

Kerengende wa kike hujifanya wamekufa ili kukwepa tendo la ngono na wenzao wa kiume

Utafiti mpya umebaini kwamba kerengende wa kike huwa anajifanya kuwa amekufa ili kukwepa wenzao wa kiume na kuepuka tendo la ndoa...
Rassim Khelifa, kutoka chuo kikuu cha Zurich Switzerland, anasema kwamba aliona kerengende wa kike aliyekuwa akifuatwa na wa kiume ili kufanya mapenzi, akijiangusha na kulala kana kwamba amefariki, hadi pale kerengende wa kiume alipoondoka..
Bwana Khelifa amsema kuwa kerengende wa kike hunyanyaswa kwa sababu huwa hawana ulinzi baada ya kutaga mayai ikilinganishwa na kerengende wengine.
Image result for kerengende

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.