SNOOP DOGG KUJA NA ALBAMU YA GOSPEL

Leo Tarehe 22 mei,  2017 jessengoty.com tunakusogezea habari  hii kutoka Marekani, ni kuhusu Snoop Dogg kutoa albamu ya nyimbo za Injili.


Snoop Dogg ameushangaza ulimwengu kwa kuahidi albamu yake inayofuata itakuwa ya nyimbo za injili.

Akiongea katika kipindi cha The Pharmacy, rapper huyo amesema, “I’m working on a gospel album. It’s always been on my heart. I just never got around to it because I always be doing gangsta business or doing this or doing that. I just felt like it’s been on my heart too long. I need to do it now.”

Snoop amelitaja jina la albamu yake hiyo ya 16 itaitwa ‘Neva Left’.

April 17 ya mwaka jana msanii huyo alianza kuonyesha kuvutiwa na muziki huo baada ya kuandika katika mtandao wake wa Instagram, “Silver n gold. @dashradio Cadillac music Sunday gospel mix.”

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.