HABARI NJEMA KUTOKA SOFT TRAINER UNIVERSITY PRODUCTIVITY 2017
Kampuni ya SoftyTrainer University productivity imesajiliwa kujihusisha katika mafunzo ya kuwawezesha vijana hasa wale wavyuo kuendana na chsngamoto za kiuchumi zinazoendelea kutokea.!
SoftyTrainer Inayo habari njema kwako wewe mwanafunzi wa chuo hasa wewe unayekaribia kumaliza Chuo, Kama utakavyoona hapa chini, inawakaribisha katika mafunzo ya June 2017.
Mafunzo Yatafanyika Tarehe 10 - 11 mwezi huu wa Sita kwa siku mbili Siku ya Jumamosi na JumaPilli kwanzia Saa 3 a.m to 6 p.m katika Chuo cha SAUT Arusha branch. Masomo muhimu kabisa ya :
CUSTOMER SERVICES TRAINING PROGRAM 2017 yakiambatana na course zake 7 kama inavyoonekana hapo chini.!!
PROGRAM TOPICS ARE;
1) Internal & External Customer Care Techniques
2) Customers Relationship Development Techniques
3) Innovative Customers Communication Techniques
4) Creative Difficult Customers Handling Techniques
5) Innovative & Excellent Customer Services Practice
6) Innovative Winning & Keeping Profitable Customers PLUS
7) CAREER SEARCH, EMPLOYABILITY & INTERVIEW WINNING TECHNIQUES
Masomo yote hayo yatafanyika kwa Shilings 35,000/- TSHS ambapo kila mtu atapatiwa vitu vifuatavyo ...
>> Two Days Free Lunch ( kwa siku zote za mafunzo )
>> Two Day Free Soft Drinks
>> One Programm Guide Book + Notes
>> Two Days Training by 1,2 or 3 lectures
>> Certificate (with passport size)
>> Programme DVD & Audio for all time of the programme
>> Free Networking for all participates
>> Personal Career Advice.
Mafunzo yatahusisha vyuo vifuatavyo... IAA, SAUT, TUMA, AOA, MMU and other Universities In Arusha. Wote Mnakaribishwa.!
KUJIANDIKISHA WASILIANA NA :
JESSE NGOTY --- 0717 496319/745 159069
No comments:
Post a Comment