UJIO MPYA WA SAIDA KAROLI : ORUGAMBO OFFICIAL VIDEO TAZAMA HAPA

Saida Karoli baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu huu ndio ujio wake tena ameachia hii video mpya ya wimbo unaitwa ‘Orugambo’, video imeongozwa na Hanscana.

Nimekuekea hapa chini... enjoy 

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.