Home
Unlabelled
LIPUMBA AWAFUKUZA WABUNGE 8 WA CUF UANACHAMA
LIPUMBA AWAFUKUZA WABUNGE 8 WA CUF UANACHAMA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema amepokea taarifa kutoka kwa Mhe. Ibrahim Lipumba Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha wananchi CUF, Ibrahim Lipumba ya kuwafukuza wabunge na 8 na Madiwani wawili.
LIPUMBA AWAFUKUZA WABUNGE 8 WA CUF UANACHAMA
Reviewed by JANASIOLEO
on
5:54:00 AM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment