Highlists & GOALS PSG VS MAN CITY

MAN CITY , PGS WHO WILL QUALIFY ?

Man City vs PSG


Goli la kusawazisha lililofungwa na Manchester City limewasaidia matajiri wa England kulazimisha sare ya kufungana magoli 2-2 dhidi ya Paris St-Germain kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ya michuano ya UEFA Champions League.
Kevin de Bruyne aliiandikia City bao la kuongoza baada ya Joe Hart kuokoa penati ya Zlatan Ibrahimovich, lakini Ibrahimovic alitumia makosa ya Fernando kuisawazishia timu yake kabla ya Adrien Rabiot hajapachika bao la pili na kuiweka PSG mbele kwa bao 1-2 dhidi ya Man City.
City ilipata bao la kusawazisha baada ya kazi nzuri ya Fernando kuzaa matunda na kuiweka klabu pazuri hiyo ya England kusonga mbele kwa faida ya magoli ya ugenini.
Mchezo wa marudiano utapigwa Jumanne ya April 12 kwenye uwanja wa Etihat jijini Manchester.
Angalia video ya magoli ya PSG vs Man City hapa chini

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.