NIMEKUSOGEZEA PICHA ZA HARUSI YA ROMA MKATOLIKI ILIYOFANYIKA LEO TANGA.

Roma 2



Roma Mkatoliki ni msanii maarufu wa hiphop Tanzania ambaye kwenye upande wa pili wa maisha ameamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa longtime ambaye wana mtoto pamoja (Ivan) na April 9 2016 ndoa imefungwa nyumbani Tanga na ni baada ya send-off kufanyika Dar es salaam February 2016.
Picha ilivuma sana ya send off ilikua hii....
February 2016 kwenye send-off Roma Mkatoliki akisindikizwa na mshkaji wake Kala Jeremih.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.