KWA MWENDO HUU DIAMOND PLATNUMZ TUTAMSIKILIZIA KWENYE BOMBA .... ANA MRADI NA USHER RAYMOND

usher

Diamond spidi zake kulitafuta tobo la Marekani inatisha. Akiwa na collabo kibindoni na French Montana, Yo Gotti na Ne-Yo ambaye watakuwa na ziara ya pamoja Uingereza Disemba mwaka huu, muimbaji huyo wa ‘Salome’ ametoa hint ya mradi mwingine ujao na role model wake mwingine – Usher.


Ametoa hint hiyo Ijumaa hii wakati akimpongeza muimbaji huyo wa ‘No Limit’ katika siku yake ya kuzaliwa.
“Happy Birthday Bro… Can’t wait for our Big day! @usher,” ameandika kwenye Instagram.
A photo posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.