MBWANA SAMATTA ATAJWA KUWANIA TUZO YA MWANASOKA BORA WA AFRIKA


Image result for mbwana samatta

Mshambuliaji wa Taifa Stars na klabu ya K.R.C. Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta, ametajwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa shirikisho la soka barani Afrika, CAF.

Majina hayo 30 yametangazwa Jumamosi hii kupitia tovuti ya shirikisho hilo la soka barani.


caf-1


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.