PICHA ZA WANYAMA ZAKUCHEKESHA ZAIDI 2016, KUNA TUNZO KWA AJILI YAO.....UTAEZA KUZUIA KICHEKO?

Fisi akicheka

Huu hapa ni mkusanyiko wa picha za kuchekesha na kusisimua za wanyama zilizopigwa mwaka huu, miongoni mwa picha hizi ikiwa moja ya mbweha aliyeingia kichwa kwanza kwenye theluji na nyingine ya nyati aliyegeuzwa choo na ndege mmoja.

Picha hizi zimeteuliwa kushindania tuzo ya picha za ucheshi za wanyama mwaka huu.
Shindano hili huandaliwa kuchangisha pesa na kusaidia shirika la kutetea uhifadhi wa wanyama la Wakfu wa Born Free.
Kuna jumla ya picha 40 na mshindi atatangazwa mwez Novemba.
Hapa ni baadhi ya picha hizo.
Pundamilia
Picha za wanyama

Picha za wanyama
Picha za wanyama

Picha za wanyama
Picha za wanyama
Picha za wanyama

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.