PICHA : BASI LA HOOD LAGONGANA NA LORI LA MAFUTA NA KUPINDUKA KWENYE MLIMA KITONGA


Basi la kampuni ya Hood linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Arusha jana  mchana lilipata ajali na kupinduka katika mlima Kitonga mkoani Iringa baada ya kugongana na lori la mafuta. Katika ajali hiyo mtu mmoja amepoteza maisha na wengine 43 wamejeruhiwa. Kati ya majeruhi hao 25 wapo Hospitali ya Itunda Ilula na 18 wapo katika Hospitali ya Mkoa.




No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.