KUONA KIASI CHA MKOPO UICHOPANGIWA MWAKA WA KWANZA NA BODI YA MIKOPO ( HESLB ) ... BOFYA HAPA



Bodi ya mikopo ya elimu ya juu wametangaza majina ya wanafunzi waliopata mkopo 2016/2017 awamu ya kwanza.

Hapa ni link ya kuangalia kama umepata au laah unaandika namba ya form 4 na code walizokupa hapo.

Kumbuka format ya form 4 no.
ni s0001.0001.0001 na sio s0001/0001/0001

 <<<BOFYA HAPA KUONA KIASI CHA MKOPO>>>
 
Link inayofuata ni FILE la Orodha ya Waliopata Mkopo 2016/17 bofya hapo kudownload moja kwa moja kwenye kifaa chako..  

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.