DIAMOND PLATNUMZ KUUNGANA NA NEYO KATIKA TOUR YAKE YA UINGEREZA DECEMBER MWAKA HUU

14515881_1669963896650457_6155687543993008128_n

Taarifa hiyo imetolewa kupitia akaunti ya Instagram ya Revolt Africa.
“Africa & America join forces!! @DiamondPlatnumz & @Neyo UK tour this December! The movement continues… #AfricaToTheWorld #MusicToTheWorld #Neyo #neyonation #diamondplatnumz #rnbking #rnb #Tanzania #africa #afropop #afrornb #afrobeatsuk #afrobeats #afrobeat #kidogo #wcb #revolttvafrica #afroBeHeard,” wameandika.
Wakali hao wenye wimbo wa pamoja uitwao Marry You, watafanya show sita kwenye majiji mbalimbali nchini humo. Mara ya kwanza Diamond aliongelea ujio wa ziara yao kupitia mahojiano aliyofanya kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM Jumamosi iliyopita.
Anadai kuwa katika kipindi cha hivi karibuni Ne-Yo amekuwa mshkaji wake wa karibu. “Tumekuwa tuko close sana na Ne-Yo, tunawasiliana mara kwa mara na of course vitu vingi namuuliza na najifunza kupitia kwake,” alisema.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.