MR. BLUE AFUNGA NDOA KIMYA KIMYA, HIZI HAPA PICHA ZA HARUSI YAKE.

Screenshot_2016-04-14-19-09-35-1

Staa wa muziki wa Bongo Fleva Kheri Sameer ambaye wengi tumemzoea kwa jina la Mr Blue, leo April 14 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kupost picha katika mitandao ya kijamii zikimuonesha akiwa kafunga ndoa na mama wa watoto wake Waheeda.
Mr Blue amefunga ndoa na Waheeda ambaye amezaa nae watoto wawili wa kwanza akiwa wa kiume na wa pili akiwa wa kike, Mr Blue amefunga ndoa kimya kimya bila watu wengi kufahamu na inatajwa kuwa asilimia kubwa ya waliohudhuria ni ndugu wa familia na baadhi ya marafiki.

Screenshot_2016-04-14-19-09-09-1
Screenshot_2016-04-14-19-09-28-1
3
2
Screenshot_2016-04-14-19-09-02-1

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.