PICHA: TAZAMA MAONESHO YA UREMBO WA NG'OMBE



Mamia ya ng'ombe na fahali walitembea kwenye jukwaa mwishoni mwa juma katika mji uliopo kaskazini mwa India Rohtak katika maonyesho ya aina yake ya urembo.
Hafla hiyo iliandaliwa na serikali ya eneo hilo kutoa mafunzo kuhusu aina tofauati za ng'ombe na haki za mifugo hao.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.