RC GAMBO ALICHOZUNGUMZA KWA WATUMISHI WA WILAYA YA ARUMERU, HALMASHAURI YA MERU
Ziara ya siku 5 Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Mrisho Gambo kwenye wilaya ya Arumeru, Halmashauri ya Meru, 17-21 Jully pic.twitter.com/oW0hDNv6wd— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
Lazima tufanye kazi kwa kuangalia maslahi ya wanaofanya kazi, italeta heshima,Team work,Tufanye kazi kwa kuheshimiana. -RC Gambo #ZiaraMeru— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
Kila j3 napokea taarifa ya utendaji kazi wa kila idara kwenye ofisi yangu; Tunahitaji usimamizi mzuri -RC GAmbo #ZiaraMeru— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
Tuwasikilize wananchi shida zao na kuzishughulikia, tukifanya hivyo tunaendelea kuleta maendeleo katika mkua wetu. - RC Gambo #ZiaraMeru— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
Utendaji wa serikali ni wa kwetu wote, Madiwani, DC na watendaji wote wa Halmashauri-Tushirikiane, Nahimiza ushirikiano.RC Gambo #ZiaraMeru— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
Wekeni utaratibu wa kusimamia maslahi, madai na haki za watumishi ili tufanye kazi kwa umoja.-RC Gambo #ZiaraMeru— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
Kama kuna mtoto mwenye miaka chini ya 18 amepewa mimba, awe shule ya private au serikali... Sheria itafata mkondo. -RC Gambo #ZiaraMeru pic.twitter.com/PXY0wYYDJO— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
Kila halmashauri ijenge Vituo vipya #Vitano vya #Afya na msijenge kwa kuangalia Diwani anatokea wapi. Hapa hakuna siasa-RC Gambo #ZiaraMeru— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
Lazima tufikirie nje ya box, kama mwekezaji ameshindwa kuendeleza shamba,,, asiendelee kuachiwa.! -RC Gambo #ZiaraMeru— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
Tumedhamiria kuhakikisha ardhii inawafaisha watanzania wote -RC Gambo #ZiaraMeru— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
Asilimia 10 ya ulichokusanya kwenye halmashauri ipelekwe kwa #vijanaNaKinaMama hili tutalisimamia kwa nguvu zote-RC Gambo #ZiaraMeru— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
Serikali hii ni serikali ya kazi, Hakuna Mtu atakaye onewa.. ukifanya kazi utaendelea kuwepo and vice versa -RC Gambo #ZiaraMeru— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
Nendeni mkawatambue vijana na wakina mama wenye uhitaji wa hii mikopo ya #VijanaNaKinaMama ..Muwakopeshe..!! -RC Gambo #ZiaraMeru— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
No comments:
Post a Comment