RC GAMBO ALICHOWAAMBIA WALIMU WA WILAYA YA ARUMERU +PICHA
Wakuu wa shule ni jukumu lenu kusaidia kufuatilia maslahi ya walimu wako, Kila j3 ukae nao ujue changamoto zao. #Rc Gambo akiongea na walimu pic.twitter.com/F0VQ64p3Ap— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
Kuwepo na fursa sawa kwa nafasi zinazokuja mashuleni E.g.kusimamia mitihani au kusahihisha -RC Gambo Akiongea na walimu wa wilaya ya Arumeru pic.twitter.com/43Tql1YZ2S— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
Kuwepo na usawa kwenye kupandishwa vyeo kwa walimu..Mwl Anayestaili kupanda cheo apande. Ondeeni kujuana na rushwa za aina yoyote. -RC Gambo— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
Walimu wawashirikishe wananchi kwenye mipango wa kuendeleza shule... Wananchi hawawezi kukataa, hata kwenye ujenzi.! -RC Gambo— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
Mwl ukiamka Asubuhi piga chai yako, Beba na chakula chako kwa ajili ya Mchana, Kapige kazi, Mimi sijapewa maji hapa..Mbona sijadai-RC Gambo pic.twitter.com/EPaZgm13C6— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
Maisha sio lelemama, Mshara hautoshi.. Mengine yanachukua muda, yanataka uvumilivu na malengo pia, Mwl. Ukitaka Ufike bar Kodogo,hatutafika— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
Amekuja Mh. Rais kasema Elimu bure... sasa hata hili la ulinzi linawashinda? Kijiji kizima? Tukumbuke shule zile ni zetu sote-RC Gambo #Meru pic.twitter.com/GoUfLpTFWi— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
Nyinyi walimu ni wamuhimu sana.. Mnaitengeneza Jamii na Tunawaamini sana.. Mshishushe Imani yetu...Tufanye kazi kwa Moyo kwa maendeleo yetu.— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) July 17, 2017
No comments:
Post a Comment