VIDEO : RONALDO AJIBU KAMA ATARUDI MAN UNITED AU SIO ... TAZAMA MAHOJIANO HAYA..
26 May 2016
Kumekuwa na tetesi nyingi juu ya mustakabli wa Cristaoni Ronaldo katika siku za baadaye kama atarudi Manchester Unites ama la.
Mzizi huo wa fitna umemalizwa kuelekea fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya itakayopigwa mwishoni mwa wiki hii, moja ya TV show ya nchini Hispania ambapo Jugones alifanya mazungumzo na Cristiano na kumuuliza nyota huyo kama ipo siku atarejea tena United.
Wakati wa mahojiano hayo, CR7 amethibitisha kuwa atamalizia maisha yake ya soka kunako klabu yake ya sasa ya Real Madrid yenye maskani yake katika uwanja wa Bernabeu.
Amesema: “Ni dhahiri nitaendelea kubaki hapa. Nadhani nitastaafia soka langu hapa Real Madrid.
Amesema: “Ni dhahiri nitaendelea kubaki hapa. Nadhani nitastaafia soka langu hapa Real Madrid.
Je utaongeza mkataba baada ya fainali ya UEFA? “Ngoja tuone. Real Madrid watakuwa timamu sana endapo wataniongezea mkataba.” “Ninafuraha sana kuwa Real Madrid. Sioni kama kuna klabu yeyote duniani zaidi ya Real Madrid.”
No comments:
Post a Comment