VIDEO : DIAMOND PLATNUMZ AKIIMBA KATIKA SHOW YA ONE AFRICA MUSIC FEST NCHINI MAREKANI


Tidal

Kwa mara ya kwanza show kubwa inayohusisha wasanii wa Afrika kwenye ukumbi wa Barclays Centre nchini Marekani imefanyika jana. Wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Diamond, Wizkid, Davido, Tiwa Savage, Flavour na wengine. Show hiyo ilikuwa ikiruka live kupitia mtandao wa Tidal.

BONYEZA HAPA KUIONA >>>> Bonyeza hapa kuitazama yote.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.