TAARIFA : MAKUBALIANO YA SIMBA NA MO DEWJI KUHUSU KUIENDESHA SIMBA KATIKA MFUMO WA HISA
August 15 2016 kamati ya utendaji ya Simba ilikutana na mfanyabiashara na mkurugenzi mtendaji mkuu wa makampuni ya Mohammed Enterprises Limited (MeTL) Mohammed Dewji ambaye aliomba kununua asilimia 51 ya hisa za Simba kama mfumo ukibadilika na kuanza kuendeshwa klabu hiyo kwa hisa, leo August 17 Simba wametoa makubaliano yao walioafikiana katika kikao chao cha pamoja.
No comments:
Post a Comment